Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Mkuu nakubali. Ila nimegundua hujaangalia performance ya Bale kwenye mechi anazopewa nafasi, tena mchezo ukiwa tayari umekwishadhibitiwa.Ah sisi tulianza na ushindi na hatujapokea kipigo kikubwa cha kuzidi goli nne.
Kocha hua ana kipaumbele, Mourinho inawezekana kipaumbele chake ni top four au trophies kama EFL hivi kisha kiangazi anaongeza kikosi. Hiki ndiyo tunatarajia akija kocha mpya.
Mimi ningekua kocha kwanza ningebadili formation, ningetumia 4 2 3 1 au 4 3 1 2. Backline hii hii anayoitumia isipokua ningempa sana game time Bale kucheza kama RM kwenye 4 2 3 1 na kucheza kama SS kwenye 4 3 1 2.
Kwenye 4 3 1 2 hii 1 namuweka Son, 2 ST anakua Kane na SS anakua Bale, kwenye 4 2 3 1 hii 1 anakua Kane, hii 3 watasimama Son, Ndombele na Bale. Yaani forward yangu ingemjumuisha Bale, Son na Kane kivyovyote kutokana na wote wana speed hivyo naandaa mazingira ya kaunta na kuwafanya wapinzani wasijisahau hence kupunguza kulisakama lango.
Hahaha mimi kama shabiki wa Arsenal natetea kununua mchezaji mmoja mmoja. Hii husababishwa sana na Financial Fair Play rule, so hata nyinyi naamini mtajikuta na hiyo ishu ya mchezaji mmoja mmoja kwa angalau transfer windows mbili.Mkuu nakubali. Ila nimegundua hujaangalia performance ya Bale kwenye mechi anazopewa nafasi, tena mchezo ukiwa tayari umekwishadhibitiwa.
Kimsingi performance ya Bale imeanza kuleta matumaini kwenye mechi mbili zilizopita; ile ya Europa na Westham.
Kocha hawezi kumpanga Bale kwa kuwa tu ana jina. Ikumbukwe pia kuwa tatizo la inconsistency ya Bale inachangiwa na kucheza mechi chache sana kwenye misimu miwili iliyopita.
Wewe unajua mpira, mchezaji injury prone anapokosa enough game time ndiyo anazidi kuwa more injury prone na ukijumlisha na umri ndiyo inakuwa soo zaidi. Hii ndiyo situation inamkuta pia namba 10 wetu Lo Celso.
Kimsingi hata benchi letu la ufundi wanatamani Bale acheze kila mechi dk 90 na hata kocha kalisema hilo mara nyingi ikiwemo kwenye press conference ya jana.
All in all. Spurs kama inataka kuwa mshindani wa kweli wa ligi inapaswa kuwekeza uwanjani. Janja janja za ki-Man U au Arsenal za kununua wachezaji mmoja mmoja wa kuziba viraka hapa na pale hazitaifikisha popote.
Usikate tamaa mkuu. Mafanikio yatakuja tu taratibu. Hata hizo timu zinazofanya vizuri sasa hivi mwanzoni mwa project zao hakuna makubwa waliyofanya. Liverpool kwa mfano. Miaka mitatu ya Klopp hakuna kitu. Hata sisi tutatoboa ila siyo rahisi.Siku hizi sina hata appetite ya kuingia huku. Hii timu inanipa presha
Hahahaha halafu apo utakuta ulikuwa ni shabiki wa Arse8, umeamia huku tena mapresha yale yale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi sina hata appetite ya kuingia huku. Hii timu inanipa presha
Na tutaendelea kuuenzi na kuuheshimu mchango wake kwetu.Mambo ya Mourinho hayo. Ukitoa maneno Jose Mourinho kwenye historia ya Chelsea unapata kitu kingine kidogo sana.
Tatizo la wadau wengi wa soka siku hizi ni kudhani kuwa mafanikio yanakuja kirahisi tu kwenye sahani ya dhahabu. Hivyo wakiona RB Leipzig inacheza mpira mzuri wa kasi dk 90 wanadhani "it's all about the couch". Utasikia "tunamtaka Nagelsman".Wapenzi wa Mou,amepewa siku 12 tuu,la sivyo anapigwa chini na kocha wa RB Leipzig anakuja mr Julia
Mkuu, nakupa kongole nyingi kwa kuwa very honest and thankful. Muungwana ni kitendo. Mentality na ambitions za Abromovic na Jose ndiyo zimetengeneza hii Chelsea ambayo nadhani tangu 2004 ndiyo klabu ya epl yenye vikombe vingi zaidi (nadhani 18). Humo ndani kuna karibu kila aina ya kikombe.Na tutaendelea kuuenzi na kuuheshimu mchango wake kwetu.
He was real a good coach
Mpaka leo nasubir jibu hapa.Bro ukiuliza hayo maswali hujibiwi, unaambiwa tu wewe ni mtetezi wa Mourinho. Kuna watangazaji na mapundit uchwara wa Bein Sports USA walijichanganya siku ile wako na Jose studio, wakamwambia habari za modern football. Kawauliza "What is modern football?". Ilikuwa aibu, hawajui hata wanaongelea nini. Ikabidi wazuge tu walete maada nyingine.
Ukiacha Mourinho, Ancelotti, Moyes, na Big Sam, hakuna kocha mwingine pale epl anayeweza kumaliza msimu nje ya relegation zone na hii Spurs ya sasa. Pochetino alikaribia kuishusha daraja ikabidi atoswe. Levy akimfukuza Mourinho nitaacha rasmi kumpa heshima ninayompa kama success genius.
Ha ha haaa. Bro, nakuhakikishia hutolipata kamwe. Ni kwa sababu hakuna kitu kama modern football. Football tactics ni zile zile na zitaendelea kuwa zile zile. Kinachobadilika ni technology inayosapoti kinachofanyika uwanjani. Vitu kama VAR au GoalLine technology.Mpaka leo nasubir jibu hapa.
Hapa mou halazi damu. Atapambana kufa na kupona.Team,
Hili kombe letu. Tumepangiwa na wakulima wengine tena. Wako vizuri ndiyo ila siyo level yetu. Tunawatoa asubuhi na mapema. Jana wamemdhalilisha Leicester nyumbani kwake King Power stadium kwa ujinga wa kocha wao. Kachezesha kikosi dhaifu ilhali fixture bado ilikuwa wazi.
#COYS
View attachment 1712390
Kichaka cha kufichia udhaifu wa kocha Mou kimekuwa eti ni wachezaji hawana ubora ,sasa kaz ya kocha si ni kuwafanya wawe bora auMourinho ni serial winner. Binafsi sitashangaa akifukuzwa Spurs. Ni kama ambavyo kwa sasa Carlo Ancelotti hawezi kudumu kwenye timu moja kwa muda mrefu.
Kuna timu moja ilimaliza msimu uliopita ikiwa na Laporte, John Stones, na Eric Garcia kwenye CB. Ikasajili msimu huu Nathan Ake na Ruben Dias kwenye eneo hilo la ulinzi wa kati.
Timu yangu mimi ilimaliza msimu uliopita ikiwa na Toby, Eric Dier, D Sanchez na Tanganga kwenye CB. Yenyewe ikamsajili kinda kutoka Swansea Joe Rodon ili nayo iimarishe eneo hili.
Cha ajabu Mourinho haters wanashangaa defense kama hiyo kufanya costly defensive mistakes game in game out.
Kwa kifupi kwa kikosi cha sasa cha Spurs, ukitazama ubora wa vikosi vya timu 10 za juu epl sioni kocha zaidi ya Mourinho au Ancelotti ambaye angeiokoa timu isishuke daraja.
Period.
Mchezaji lazima awe bora kwanza ili mwalimu aongeze vitu vichache +mbinu za kushinda game. Unapoona club zinasajili wachezaji wakubwa, mbona usijiulize ni kwa nini hao makocha wasichukue hawa wachezaji wa mafungu wakawafundisha!? Ile Tot ilimfia Pochettino mikononi, bila kuisuka upya sidhani kama itakuwa rahisi kubeba vikombe.Kichaka cha kufichia udhaifu wa kocha Mou kimekuwa eti ni wachezaji hawana ubora ,sasa kaz ya kocha si ni kuwafanya wawe bora au
Kila shabiki na mpenzi wa soka angekuwa hivi ingekuwa mujarab saana. You know the game bro. Mourinho anafanywa kuwa malaika. Atumie mikuki, mishale na mapanga kushinda vita ambayo washindani wana bunduki, vifaru na mizinga.Mchezaji lazima awe bora kwanza ili mwalimu aongeze vitu vichache +mbinu za kushinda game. Unapoona club zinasajili wachezaji wakubwa, mbona usijiulize ni kwa nini hao makocha wasichukue hawa wachezaji wa mafungu wakawafundisha!? Ile Tot ilimfia Pochettino mikononi, bila kuisuka upya sidhani kama itakuwa rahisi kubeba vikombe.
Mou alipokuwa Man Utd alichukua Europa akiwa na akina Ashly Young, Valencia, Phil Jones, Lingard, Sanchez Marcus Rojo etc. Mou aliwaambia wakitaka kushinda makombe makubwa lazima usajili mkubwa ufanyike na kuanzia iwe ni kusuka upya defense ya timu. Wenye timu wakasema wachezaji waliopo wanaweza kuchukua kombe lolote, mwisho wa wakamtimua.
Ole alipokuja amepita kule kule Mou alikosema kunahitaji kufanyiwa kazi, angalia sajili zilizofuata hapo Man Utd. Pamoja na kupewa wachezaji aliohitaji bado hana dalili za kuchukua kombe lolote.
Nadhani watu wanataka kumtumia Mou kama "hired gun ", yaani ukiwa nae unapaswa kuchukua vikombe vyote bila kujalisha kikosi ulichonacho.