unakaribishwa kwa tabasamu bashasha na sauti nyororo.lazima utoe tip baada ya kununua ice cream.Siku hizi wanauza Ice Cream... ukipita tu wanakuita uonje...
Kibo complex-Tegeta
Quality Center- Tazara
Mlimani City-
Dar Free Market-
Viva Tower-
My Fair Plaza-
Shoppers-
kweli mkuu siku hizi bongo kila mdada anajua kuoga na kupendeza.ni swala la kuchagua wapi unataka kubeba mzigo wako.Hata kama wangekuwepo bado kwenye supermarket hamna watu wenye time nao sana maana sahv kila kona kuna watoto wazuri
mkuu Dar ni kama chuo.vigumu kujua kila jambo.enzi hizo unapark gari umeshaonekana na wadada ndani! kila mara supermarket hiyohiyo moja! nashangaa kwanini wanawake majumbani hawajiulizi kwanini kila siku unaenda shoppers plaza mikocheni wakati kuna huduma location zingine! kumbe unaenda kutoa matunzo.Kweli Mimi sio wa mjini, mageni haya....!
Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!Watoto wazuri dizain kama hizo nenda insta,Facebook badoo wamejaaa kibao sasa hivi hata wanaojipanga barabarani na kugombana na Siro sijui hawana smartphone?
kweli mkuu siku hizi ni dating zone unajitwalia kitu roho inapenda.sema madame wengine muonekano wa picha na uhalisia vinautofauti mkubwa.Watoto wazuri dizain kama hizo nenda insta,Facebook badoo wamejaaa kibao sasa hivi hata wanaojipanga barabarani na kugombana na Siro sijui hawana smartphone?
Ndio hivyo utandawazi umerahisisha mambo mengi na wanaonekana wazuri pale si ndio sokoni lazima ajiweke vizurikweli mkuu siku hizi ni dating zone unajitwalia kitu roho inapenda.sema madame wengine muonekano wa picha na uhalisia vinautofauti mkubwa.
Ukituma ujue umeliwa na matapeli ndio wengi ila ukiwa mtu wa kukomaa utakula mzigo kila siku tofauti tofautiUmenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
Naamini kuna wanaume wenzetu wanatuma hela kwa kuombwa hela mtandaoni! kutoa hela kwa mtu usimjua/kumuona yataka uchizi kidogo! ukigoma kutoa hela huitwi baby tena.utachambwa!Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
mkuu mmoja ilibidi nimpotezee nilipark gari tinted mimi namuona yeye hanioni nikakagua sifa na vigezo sifuri.nikasepa mitandaoni kupata uhalisia ni ngumu wengi ni walioshindikanaNdio hivyo utandawazi umerahisisha mambo mengi na wanaonekana wazuri pale si ndio sokoni lazima ajiweke vizuri
mkuu nyapu kule ziko kibao kama wewe mkware kila siku.utagonga tena bila sound ni kushika mkono na kuchinja tu.mradi bundle ipo na hela ya bodaboda/taxi/ daladalaUkituma ujue umeliwa na matapeli ndio wengi ila ukiwa mtu wa kukomaa utakula mzigo kila siku tofauti tofauti