Nadhani umeielewa sasa
kweli?Mkuu mbona sijaona hata mmoja mzuri hapo!Ninachoona ni minywele ya wazungu tu na mikorogo basi!!
Nadhani umeielewa sasa
Mbona huyo wa katikati mzee??
anamaanisha masaburii oooh!duh..basi nimeishiia kusoma signature yako tu.
Nadhani umeielewa sasa
mtu hahitaji tochi kuwaona washika mapembe
Mama watoto ni kama huyu au zaidi!View attachment 47502
Mbona wamekomaa hivyo!!!!!
Hilo moja kama dume.