Ilikua chuo hivi nikirudi zangu gheto, wakati napita maeneo ya bench za kusomea nikamuona toto la kizungu
limekaa bench zima peke ake nikajisemea hapa ndio penyewe sasa nikajiitupia salamu yakichokozi full kiswahili sikutaka ujuaji mwisho nikaaibika nakingeleza kilichofika kwa meli..
Bila kuchelewa toto lakizungu likatabasamu nakurudsha salamu, ...hahaha nikaona hapa sio pakuchelew nikakaa nae kwa bench katika kianzio cha stori nae "nikaamuuliza kwanini huko peke ako hapa vip kuna mtu wamsubiri"
Jibu alilonipa nkabaki kutahamaki tu et "niko hapa muda murefu lakini watu wananiogopa shijui ni kwanini"
Nikaangalia bench(mbweta) zingine watu wamefulika kwakubanana.....
Ni kweli tunaogopa hawa watu? Vipi ushawahii kutana na hili jambo