Toto afya yafutwa na NHIF

Toto afya yafutwa na NHIF

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,949
Reaction score
102,726
Tetesi ni kuwa Toto Afya tuliyokuwa twailipia kwa 50400/ kwa sasa hutaweza ilipa binafsi...

Utailipa kupitia shule asomayo mtoto au kwenye kifurushi kinachojumuisha mzazi.

Kazi kwenu sasa

NHIFTZ
Tusaidieni hapa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Duh!nililipia june hapo juzi tu ndio nimepata kadi ya Mtoto na kuna wengine wanaendelea kukata kama wamesitisha kweli basi utakua sawa na utapeli
 
NHIF waanapaswa waondoe package zao kwa utaratibu.

Subiri mtu bima yake inavyoisha ndio uipige pini.

Sio hii ya kukurupuka tu. Mwingine kakata jana wewe unafuta leo
 
Duh!nililipia june hapo juzi tu ndio nimepata kadi ya Mtoto na kuna wengine wanaendelea kukata kama wamesitisha kweli basi utakua sawa na utapeli
Kama wamefuta kweli hizo zitaendelea kutumika Ila kwa Wale wapya ndio hawatoruhusiwa kukata Tena Bima hiyo.
 
Hii inchi hii?

Lengo la kufuta bima ya 50400 kutusumbuwa tu
 
Nahisi kuna namna inatafutwa wote tuingie kwenye mtego wao.
 
Tetesi ni kuwa Toto Afya tuliyokuwa twailipia kwa 50400/ kwa sasa hutaweza ilipa binafsi...

Utailipa kupitia shule asomayo mtoto au kwenye kifurushi kinachojumuisha mzazi.

Kazi kwenu sasa

NHIFTZ
Tusaidieni hapa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
wewe mtoa uzi ni mpumbavu wa kiwango cha juu.
 
Haijafutwa mm nimetoka kuchukua form muda huu na wanasema mtoto anajitegemea haiingii ktk kifurushi cha mzazi
 
Hiyo Wairudishe aisee. Ni msaada sana kuhudumia Watoto wa nje ya ndoa na ma single mothers.
 
Back
Top Bottom