Total simlipii

Total simlipii

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
346
Reaction score
120
Ankara (bill) ilivyomchanganya Massawe. Massawe alikwenda baa na marafiki zake kupata kinywaji, baada ya kumaliza starehe, ankara ikaletwa ikiwa hivi:Manka shs 35,000
Marieta shs 20,000
Kekuu shs 30,000
Kinabo shs 10,00
Shirima shs 15,000
Total shs 110,000.
Massawe akaiangaliaaa akasema" Wote nitawalipia lakini huyo "Total" Yesuu simlipii. Kwanza anamiliki sheli kibao za mafuta hapa bongo Shenzi taipu! na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe"
 
Hahahahaha umetoa wapi hii kali sana hahaha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Yeesu na Maria na Yusufu mchumba wake...!!! Mbulya...!!
 
Ama kweli total halipiwi. Kwanza siyo mswahili huyo wa arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom