Total destruction the only solution they have. No one can stop CCM now

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,715
Reaction score
59,251
CCM imewachukua miaka 20 kuhakikisha wanaweka Wanachama, Makomredi, Makada na Wakeleketwa wa CCM kwenye Mhimili ya Serikali kama Mahakama, Jeshi, Polisi, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Magereza na JKT na nafasi za juu za Mamlaka. Pote sasa wamefanikiwa kuweka makada wao. No one can stop CCM now

Hivyo usitegemee, Mamlaka yoyote iwe upande wa Wananchi. No one can stop CCM now

Wote waliopewa Vitengo katika Mamlahizo, Wanategemea ulaji kutoka na Hela za Ufisadi, Wizi, Uzurumaji. No one can stop CCM now

Badala ya Wasaidie Watanzania, Wanasaidia Waarabu na Wazungu. No one can stop CCM now

Sasa hivi CCM wameamua kufanya uharibifu katika Nchi sababu hakuna wa kuwazuia, kuwakemea, kuwanunia wala kuwashauri.
No one can stop CCM now

Viongozi wa dini 90% washafungwa mdomo kwa rushwa. No one can stop CCM now

Sasa wameamua kumwaga damu, kuliza wanafamilia, kuiba watakavyo na kufanya wqtakavyo. Nani wa kuwazuia? No one can stop CCM now

Tunaharibu, tukimaliza muda wetu tushachuma. Tunaenda zetu kizimkazi. Wabara watajijua. No one can stop CCM now

Mbaya saidi Wanatumiwa watu wa Tanganyika kuwanyamazisha watanganyika.

Hela inaongea. No one can stop CCM now

Atakayekosoa CCM au Viongozi wake, ni kutekwa, kupigwa, kubambikiwa kesi, kuuliwq na kupotezwa. No one can stop CCM now

Atakayekemea Ufisadi, ni kutekwa, kupigwa, kubambikiwa kesi, kuuliwa na kupotezwa. No one can stop CCM now

Atakayeongea neno akiwa CHADEMA, ni kutekwa, kupigwa, kubambikiwa kesi, kuuliwa na kupotezwa. No one can stop CCM now

Historia ya Nchi kuhusu mauaji imeandikwa upya kwenye Uongozi wa Mwanamke wq kwanza kuiongoza Tanzania.. Mauaji ya kinyama na umwagaji damu wa hari ya juu umerekodiwa Tanzania mwaka 2025. No one can stop CCM now

Tanzania itakuwa Nchi pinidi Mihimili ikijitegemea. Baada ya Katiba mpya. Ila sasa hivi Tanzania ni pango la Wanyang'anyi.
 
Only Gen Z can defeat them, if the decide tomorrow. If they fail, then the game is over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…