toshiba tablet haidetect joiku

Joined
Jan 11, 2013
Posts
77
Reaction score
13
kwanza nashukuru wadau kwa misaada na elimu mnazotoa
nina simu yangu ya nokia nimeweka joiku ili inisaidie kupata aces ya net kwenye vit kama laptop na tablet.tatizo langu ni kwamba haidetect kwa tablet ila kwa laptop ina detect na inapga kazi.je nifaneje ili iditect kwa tablet?
 
kwan Wifi Imewashwa Kwenye Hio Tablet?
 
mkuu hakikisha kuwa device zako zote mbili wifi ipo on ndo utatumia hiyo wifi
 
tablet zote za android hazisuport ad-hoc so usisumbuke haitakubali. Tumia pc yako kutengeneza wireless kama una windows 7 inatengeneza wifi by default nenda kwenye network katengeneze. Kama una windows 8 tumia connectfy tengeneza ipo humu jukwaani. Connectify inasuport pia windows 7
 
nimegundua hli upo sahihi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…