Mfarisayo Mweusi
Member
- Feb 11, 2020
- 22
- 22
HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt.Mkuu pole sana, hizo hdd ulizokuwa unatoa ulikuwa una test kuthibitisha kama kweli zimeharibika? Pia hakuna maandishi mengine yakitokea wakati wa kuwasha ,?
Mkuu jaribu kuangalia RAM, bios, powersupply na graphuc card( kwa upande wa hardware ) test hizo kama zinafanya kazi vizuri.HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt...
Download program inaitwa crystal disk info, hii program Itakuonesha sector za hdd zipi zimekufa na zipi zipo hai, utajua afya kama imeanza kuharibika, ama imeharibika ama ni nzima.HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt.
Hakuna maneno mengine zaidi ya kustuck kwny jina TOSHIBA.
Pia nakumbuka kuna siku nilijaribu kuweka HDD iliyokufa zamani sana ikatokea statement hii [ No bootable device] na mengine siyakumbuki
Kinachoharibu hdd hasa ni mshtuko na joto, hakikisha hdd unaifunga vizuri isicheze.Wakuu habarini za muda. Pc yangu ina shida naombeni msaada.
Ni brand ya Toshiba satellite nilipewa na sstr tangu 2015 ambapo kabla ya hapo alikuwa anaitumia akiwa masomoni. Ilianza kuleta changamoto ya kuua hdd tangu 2018, mpaka sasa nimeshabadili HDD kama 5 hivi.
Yaani naweza kuwa nafanya kazi baada ya mda kidogo nasikia inalia( ta ta ta ta kwny hdd) na baadae inazma kabisa nikiiwasha inastuk kwny jina TOSHIBA na haiendelei mbele sijajua tatizo nini.
Nilipokuwa napeleka kwa fundi jamaa alikuwa anasema window imecorrupt... wengine wanasema mashine ndio inayoua hdd so, mpaka sasa sijajua ttz ni nini.
Mwaka huu mwezi wa 3 nikaenda kununua hdd mpaya 1TB aina ya seagate wiki tatu baadae ikazingua nikapeleka kwa fundi kaipima na kugundua hata ile partition iliyowekwa window nayo imekufa... plz msaada jamani.
Au pc ndio ishachoka?
Program ninazotumia ni hz za surveys kama AUTOCAD, QGIS, ArcGIS , Archicad nk