Mnimbo Member Joined Mar 25, 2017 Posts 6 Reaction score 5 May 18, 2017 #1 Habari, nina shida ya housing ya laptop aina ya Toshiba, niliangusha ikakatika lock za kushikia kioo ili kisimame Kwa mwenye nazo tuwasiliane 0744666669 0657666669 0688666669.
Habari, nina shida ya housing ya laptop aina ya Toshiba, niliangusha ikakatika lock za kushikia kioo ili kisimame Kwa mwenye nazo tuwasiliane 0744666669 0657666669 0688666669.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,247 Reaction score 56,910 May 18, 2017 #2 Iache hivyo hivyo Imekaa fresh
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,257 May 18, 2017 #3 Zunguka kwa mafundi unaweza kupata.