Torrent downloader

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
1,023
Reaction score
1,979
Habari wana jamvi, nisaidieni app nzuri ya mobile ya kudownload torrents, tofauti na utorrent
 
Nami msaada katika hili,nmedownload bit torrent kwenye PC yangu inagoma kudown load kitu chochote znakuja option za nchi za ulaya na marekani nawanataka nilipie.....lakin kunawengine nackia wanaweza tumia free ......msaada nifanyeje nami nitumie free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…