Topic ya kwanza mwaka huu mmu

akenajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
1,634
Reaction score
613
Nawatakia wote kheri ya mwaka mpya 2013 na kuwakumbuka wana MMU wote ambao walijeruhiwa kimahusiano, kimapenzi,kiurafiki mungu awape nguvu mwaka huu kuwa na mahusiano bora zaidi
Kila la kheri karibu 2013
 
Pole sana akenajo, thread yako sio ya mwaka huu,ni ya mwaka jana.Ulitaka kuwa wa kwanza matokeo yake umekuwa wa mwisho 23:59 mwaka 2012.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…