Top state officials own firms in sh133 billion theft

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,020
Posted Date:: 26.01.2008 @03:12 EAT

Top state officials own firms in sh133bn theft
By The Citizen Team

Three companies out of 22 that swindled about Sh133 billion from the Central Bank through External Payments Arrears, were formed and registered by some top officials from the State House, The Citizen can reveal.

The three companies are Excellent Services Ltd, Clayton Marketing Ltd and Kagoda Agriculture Ltd.

The Investigations conducted by the Citizen has established that Excellent Services Ltd was registered on 27th April, 1992 as a company limited by share, with two directors owning 100 shares each.

The principal objectives of the company according to its Memorandum of Association, was to carry out business of secretarial, printing, publishing, general stationeries and office equipments.

Others were to conduct clearing and forwarding agents, bonded warehouses, cargo haulers and freight forwarders.

It was officially registered on May 14th, 1992, according to available details.

Investigation by The Citizen has further revealed that Clayton Marketing Ltd was established on 20th May, 2005 as a company limited by shares, with its principal objectives of conducting stationeries, telecommunication and printing business.

The company was officially registered on June 6th, 2005, with two directors owning 40 shares each.

The witness of its formation and registration was B.S. Malegesi of Dar es Salaam who is an advocate and commissioner for oaths.

According to details obtained by the Citizen, the three companies together were paid about $36(Sh40 billion) between September and December 2005.

Investigation by the Citizen has established that all four directors named as the shareholders of these companies except one, were employees of the State House during the dubious transactions that cost the nation billions of shillings.

Another director who is also a shareholder of Kagoda Agriculture Ltd and a nominated MP had a strong link with top official within the State Intelligence and used the opportunity to influence dubious payments within the BOT.

However, Kagoda Agriculture Ltd, which obtained the lion's share of EPA billions amounting to $30.8 million has three directors.

Two out of these are among the nine companies that earned close a total of Sh42 billion without having any supporting documents, to justify the heft payments, while one of them is in the group of the 13 companies that used forged documents to fetch a total of Sh90 billion.

The Citizen has also established that another company, Njake Hotel and Tours Ltd, was formed and registered by a senior officer from the Central Bank in April, 2005. The company fetched close to $2 million between May and November, 2005.

It is in the category of the 13 companies that obtained billions of money by using forged documents, The Citizen has established.

Whether the State was aware about the involvement of its top security officials in the looting of billions of taxpayers money or not is still not clear.

In another development, The Citizen has also established that on Tuesday this week, the Special Task Force Team interrogated senior officials from Maregesi Law Chambers for ten hours about the theft of Sh133 billions.

Maregesi Law Chambers is among the 9 companies that obtained billions of shillings from BOT without having any supporting documents, according to the recent EPA auditing report.

On Tuesday this week, Special Taskforce Team to investigate the theft of Sh133 billions at the BoT through the External Payment Arrears (EPA) account, vowed to recover the money, amid criticism from the opposition parties.

The Team was ordered by President Kikwete to investigate and arrest all those who are responsible with theft of billions of taxpayers monies.


It has also been tasked by the duty of recovering the all stolen monies.
Kikwete also directed that the stolen billions of money be returned to government coffers immediately.

In a statement released by the chairman of the team, the Attorney General, the team applauds support of members of the public, saying so many people have voluntarily offered to give information on the dubious deals that led to loss of money.

Ernst and Young in their report revealed that at least 22 companies were involved in dubious payment from BoT, totalling to Sh133 billion.

But out of the mentioned company, some 13 local companies pocketed Sh90, 359,078,804 using forged documents during the 2005/6 financial.

The report also showed that other nine companies that were irregularly paid Sh42 billion while they do not exist in the list of registered companies.
 

mi nilidhani wanataja majina ya wahusika!
 
basi wawasogezee hayo majina wale wenye ujasiri ili wawaumbue wahusika. vinginevyo wanakuwa kama wanajipandishia dau ili wahusika "wawaone" japokuwa inaweza isiwe hivyo.
 
Nafikiri huyo mmoja ni Mwang'onda, Mbunge wa kuteuliwa na mtoto wa
mkuu wa usalama wa taifa aliyepita.

Kuna projects za Apson ambazo jina lake kikawaida huwa halitajwi, nilikuwa nashangaa kwanini, lakini sasa picha inaanza kufunguka. Kwa mfano kule Kyela
kuna Kyela Resort ambayo alishirikiana na vigogo wengine watano akiwemo mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mwakipesile.

Inasikitisha sana na inaelekea nchi inaongozwa na majambazi.
 
kuna Kyela Resort ambayo alishirikiana na vigogo wengine watano akiwemo mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mwakipesile.


Mkuu Mtanzania,

Duh! Heshima mbele, hiii ndio hasa kumkoma nyani mpaka giladi, lete vitu mwanangu!
 

I repeat "formed and registered"

Sasa ndipo lile la TISS kuwa (Tanzania Inter-Bank Settlement System) na la Meghji kusema kadanganywa na Balali inabidi ni conclude kwamba, TISS wa actually TISS the organization na ni kweli kwamba Balali alimwambia Meghji ukweli; kwa vile Kagoda imesajiliwa na maofisa wa Ikulu kwa shughuli za Usalama wa Taifa.

BINGO- The Big Boys are in a big mess, caught with pants down, covet ops exposed.
CONCLUSION: BOT SCAM CASE CLOSED READ MY LIPS .
 
Top state Officials Own Firms: This is a known fact!
But, own at what capacity?
Shs 133 billion: Apparently this is more or less intriguing.
Theft:Now known what is there to discuss?
I am open to cynicism!
 

Zalendohalisi,

Unajua nini? Mama Zhakia kwakweli ni bogus dunia nzima. Sijapata kuona. Au anaona watu wote wajinga.

Governor alimwambia ukweli kuwa hela hizi ni kwa ajili ya COVERT OPERATION na amri imetoka juu. Yeye anasisitiza nilidanganywa.. ..Hapa inaonekana wazi huyu mama anaelewa kabisa kuwa:

The covert operation yenyewe ilikuwa ni kununuliwa ile nyumba pale msasani na RA na kui finance CCM uchaguzi kwa ujumla, hilo jumba la RA ndio ilikuwa temporarily makao makuu ya chama ya kiuchaguzi, yaani waliyahamisha shughuli zote za uchaguzi kutoka ofisi za chama. Na ktk jumba lile ndipo jamaa walikwapua millioni 600, je mliwahi kusikia ikiripotiwa polisi hilo? jibu ni nooo! Maana lile jumba lilikuwa lina kuwa na hard cash nyingi. Kuna case ya mwanza jamaa alipewa 200 Million apeleke. Akafikisha 80, naye aliyepewa 80 akafikisha 20!

Hela za Kagoda ndizo zilizoweka serikali nzima MADARAKANI.

Hela zililiwa sana kwenye hiyo "covert Op"

Msiniulize nilikula ngapi, kwi kwi kwiiiiiii
 
Lakini jamani tujiulize tume iliyoundwa inafanya kazi gani wakati ma auditors walishafanya kazi...... HILI NI CHANGA LA MACHO
 
Heshima mbele.... Kwa mtazamo wangu baada ya kufuatilia hili la BoT, Ujenzi wa mabarabara, Ubinafsishaji wa mali za Umma na mengine mengi naona tuweke juhudi katika kuhimiza PCCB na wengine wafuatilie ile listi ya mali za viongozi wa Umma - especially Mawaziri/Manaibu na Wabunge wote!!! Ni watu chini ya 300 tunawaongelea na kama tukiweza kujua mali zao zimepatikanaje then tutakuwa in a position kufuatilia wale dagaa!!!

Hii listi nadhani iliagizwa na Spika kuwa imekamilika end of 2007 (I stand to be corrected) lakini am sure to date hakuna kitu!! Mhe Slaa inabidi apewe hili ili nalo aliweke mezani manake inaonekana kuna ushetani uliokithiri katika nchi yetu ya walaji!!!
 
FMES
Inakuwaje huyu kijana wa Mzee Kipara anahusishwa na ufisadi wa kiwango kikubwa sana ilhali Mzee wake kaichia kitengo kwa Chief Othman majuzi majuzi tu? Kuna nini hapa wakuu? Wapi CCM wameteleza na kuachia nyeti zikisambaa kama upupu?! Is this a fight or war?
 

FDR,

Sidhani kuna ku fight ndani ya usalama wa taifa maana hata huyo Othman na
Apson ni kama mtu na babake. Kuingia kwa Othman hapo kulikuwa na baraka zote za Apson.

Shida ni kwamba walizoea kuiba, wakafanya kawaida, wakaiba mpaka vitu vikatapakaa kila sehemu na hivyo kushutukiwa.

Othman ana kazi kubwa sana ya kurudishi heshima ya usalama wa taifa. Vinginevyo itakuwa ngumu hata kuambiwa habari za maana maana utareport wizi kwa mwizi?
 
Haki yaweza kupatikana hata kwenye kisahani cha dhahabu?

Yu wapi wa kuzuia hali kama hii isijitokeze tena?

Ficha upumbavu wako ila weka hekima zako hadharani ili kila mtu akujue....
 
Jamani miye naona tuitishe kikao cha Watanzania wote na tugawiane nchi tu, ili kila mtu ajua na aanze kivyake vyake.. maana kwenye shamba hili inaonekana "wanyama wengine wana haki zaidi kuliko wengine".
 
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9182&page=2

Nilisema hivi: Angalia alama nyekundu. Linganisha na story ya The Citizen. Ndio maana nilipendekeza muda mrefu kwamba hizi za BoT zitengewe mahali pake. Ni nyingi na zinachanganya.

Pia kuna mtu humu alikwisha kuzitaja hizi kampuni katika ile thread ya Usalama wa Taifa Kumejaa Mafisadi...

http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=128217






 
Sasa kama mwingine alishachukua chake mapema, unataka tumpe tena?!!?

Mgao itabidi uanze upya kabisaaaaaaaa!!!!!!! waliotangulia itabidi wavumilie kidogo!!!!!, mimi nimeshawahi IPTL na mkataba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…