Hamtaki wewe na nani?Hatutaki threads za copy and paste kutoka kwenye mediocre sites, ambazo hazijengi chochote au kuwasaidia wanajamii.. Embu niambie hii thread itasaidia vipi kuongeza kasi ya internet kwa wanajamii wa Afrika Mashariki?
Tunataka vitu vya kuwajenga watu, hii thread ingekua inasema "Nini kifanyike kuongeza kasi ya mtandao Tanzania?" alafu usiishie hapo uje na report ya itafiti wako uliyofanya.
Hamtaki wewe na nani?
Threads za kujenga unataka aweke nani kama wewe hujaziweka?
Hakuna sehemu nimeshasoma kuwa kucopy na kupaste ni mokawapo ya ukiukaji wa sheria za Jamiiforums.
I can't delete it, bahati mbaya hili siyo jukwaa la mipasho ila usidhani kila usichokipenda kila moja hakipendi, vinginevyo hizi protocol kaanazo mwenyewe.
Unnecessary.. Just Delete it man
Hatutaki threads za copy and paste kutoka kwenye mediocre sites, ambazo hazijengi chochote au kuwasaidia wanajamii.. Embu niambie hii thread itasaidia vipi kuongeza kasi ya internet kwa wanajamii wa Afrika Mashariki?
Tunataka vitu vya kuwajenga watu, hii thread ingekua inasema "Nini kifanyike kuongeza kasi ya mtandao Tanzania?" alafu usiishie hapo uje na report ya itafiti wako uliyofanya.