Hiyo List imetoka kwakuwa wamekuwa wajanja wamekataa kuwekewa fedha Uswis! Hawa in return wameweza kutengeneza ajira nyingi sana kwao! Angola ina product kuu ya Mafuta, sisi tuna zaidi ya mafuta na Gas lakini Wote tuko hoi, tunazidiana kwa fedha za kubadilisha mboga tu! Wazungu tumewaachia wanakomba kila kitu ... Naamini kuwa Hiyo list inaukweli mdogo sana, Wazungu wanajaribu kuwapaka matope kwakuwa Angola wameamua kuingia mikataba yenye tija na China ...