Top 5 Swahili series 2022/ 2023

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,218
Kutoka Dstv I would rank the series kama hivi;

1. Jua kali [emoji1241]
2. Selina [emoji1139]
3. Sanura [emoji1139]
4. Kina [emoji1139]
5. Huba [emoji1241]

Tanzania tuongeze juhudi, Wakenya wanakuja kama Holywood.
 
Wakenya wanakuja Kama Hollywood kupitia movie/series gani!?
 
Tamthilia yangu bora ya kiswahili ni siri ya Mtungi, kwenye Tamthilia ile utagundua kwamba wa bongo tuna vipaji ila Budget ndio inatufelisha, Duma yule wa siri ya Mtungi na Duma huyu ni wawili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…