Top 10 Sniper Rifles

Dragunov ni mashine hatari inapiga nne kwa wakati mmoja. Japo unaweza iseti ikapiga moja yenye nguvu mpaka m1000. Ni hatari
 
Kinachotuponza wabongo, bado tunaamini katka dunia shwari, wakati watu wabaya wapo nje wakisubiri muda tuu.
Hakuna ubaya kujua sayansi ya silaha maana ipo siku utaiitaji na hutakuwa na idea na unachokitaka
 
mkuu mi naikubali sana barrett inauwezo hata wa kuharibu engene ya gari!

Sawa mkubwa,lakini mkuu wa kitengo cha ujasusi wa Islael mosad aliwahi sema kwa kwa shabaha na accuracy Drug ina 99.99%. hatari sana hiyo mambo.
 
Kwa mini na sisi bongo zisiuzwe madukan kama bodaboda.
Maana kuna watu was escrow wanarembwa sana na serikal.
Ukiwanayo unawapoteza bila ushahid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…