Top 10 most-streamed songs on Spotify

1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams)
2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams)
3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams)
4️⃣ "Closer" - The Chainsmokers ft Halsey (1,752 BILLION Streams)
5️⃣ "Thinking Out Loud" - Ed Sheeran (1,516 BILLION Streams)
6️⃣ "God's Plan" - Drake (1,511 BILLION Streams)
7️⃣ "Sunflower" - Post Malone & Swae Lee (1,438 BILLION Streams)
8️⃣ "Havana" - Camila Cabello ft Young Thung (1,421 BILLION Streams)
9️⃣ "Dance Monkey" - Tones And I (1,398 BILLION Streams)
🔟 "Perfect" - Ed Sheeran (1,385 BILLION Streams)

Kuna muda kina Chris Brown wananyanyaswa😀
Sio kwamba Chris Brown ananyanyaswa, wote tunajua ni moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa vya kuimba duniani ila nadhani kuna factor nyingi zinafanya asiwepo hapo. Kwa miaka ya hivi karibuni hana hit-song kuzidi hizo hapo juu pamoja na kutoa nyimbo nyingi na album. Pia wamarekani wengi walimchukia kipindi ananyanyasa wanawake hivyo mpaka leo hii waliobaki kum-support sio kama zamani.

Kwa kizazi hiki huwezi kumkimbia Post Malone ni moja ya msanii ambaye hatajwi sana ila kazi zake zinaongea, sijawahi sikiliza nyimbo yake nikaona mbaya, jamaa ni fundi.

Ed Sheeran kukaa hapo ni haki yake hizo nyimbo zilisumbua sana kila kona ya dunia.

God's plan pia ilikuwa maarufu sana ilikuwa haichagui rika kila mtu ni yake, nyimbo nyingi zinazolenga jamii moja kwa moja huwa zinaishia kuwa kubwa duniani.

Closer ya Chainsmokers na Halsey ni moja ya nyimbo yangu pendwa sana ya mapenzi kutoka kwa Chainsmokers, ukiisikiliza utasikia vipaji vikubwa vilivyopo ndani yao, kwasasa Halsey ni moja ya wasanii wa kike wanaokuja kwa kasi ukiachana na Billie Eilish.

Baada ya Camila Cabello kujitoa Fifthy Harmony hiyo Havana ndio ngoma ilimfanya akazidi kuwa bora na maarufu, huyu kwenye top 5 ya wasanii wa kike wakali marekani lazima awepo, sasa hivi ana album yake kila nyimbo kaumiza.

Hapo nyimbo ambayo sijaisikiliza ni hiyo Dance Monkey tu ila hizo nyimbo zinastahili kuwa streamed mara nyingi zaidi duniani, hapo zipo talent za kutosha kwenye hiyo list.

Ulimalizia na kumtaja Chris Brown kwakuwa hata wewe mleta uzi unajua ubora wake ila lazima ujue nyimbo kali na hit-song, leo hii Chris Brown ana nyimbo nyingi kali ila bado sio hit-song. Moja ya wasanii wanaotoaga hit-song nyingi marekani ni Jason Derulo.

Pia hit-song zinakuja kutokana na factor nyingi sana leo hii 6ix9ine (Tekashi) ana nyimbo mpya inatamba sio kwamba ni kali ila kipindi alichotoa ametokea gerezani hivyo kila mtu alitaka asikie ni nini amemimba na kiukweli Tekashi hakuna msanii pale alichobaki ni ku-diss watu tu ila ndio ashapendwa tayari. Leo hii nyimbo ya Rostam - Kaka Tuchati lazima iwe kubwa ukiachana na ubunifu wa video yao, maudhui ya nyimbo kipindi walichotoa vinaladana hivyo lazima watu waishi nayo.

Naongezea Chris Brown nyimbo kama Loyal ni hit-song ambayo itaishi milele "This hoes ain't loyal" si ni mpaka leo... Aisee huyu ndio msanii wangu pendwa marekani sasa hivi nasikiliza tu Mixtape yake mpya ya Slime & B na badi anaumiza tu.
 
ndugu Shikamooo Umechambua🔥
 
Back
Top Bottom