Kuna mdau alieleza humu tiba yake kuwa...Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
Tumia pen v mkuu!!mimi ndio dawa inayonisaidia sanaHabari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
Mmh ,asante m n muoga mnoKama uko na mtu hapo nyumbani muombe akusaidie jambo moja..
Achukue asali apake kwenye vidole vyake viwili hivi vya mikono virefu alafu aingize kooni mwako afanye kama anakusugua hivi pande zote mbili utajisikia kutapika sana au kutema mate kwa wingi kesho asubuhi ukiamka hakuna tena viuvimbe hivyo..
Usijionee huruma au kama unaweza kujifanyia mwenyewe fanya..
Kesho ulete mrejesho..
santeKuna mdau alieleza humu tiba yake kuwa...
Weka maji kwenye kikombe yasijae.. kisha chukua kaa la moto utumbukize kwenye maji hayo na kunywa maji huku kaa likichemka
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tonsillectomy at 20 to 25yrs and abave huwa chronic maana yake hazivimbi kabisa Kwa sababu ya retaining ya microorganisms reactions ambayo hujengwa na kuwa hypersensitive reactions most of this time kuziondoa haisaidii at earliest time ni nzr Kwa kuwa mwili hujitune Kwa staili nyingine kufait na microorganismsDawa zozote kwa issue ya Tonsils inaweza saidia tu kama hazijafikia kiasi/kiwango kikubwa zaidi kuhitaji kuondolewa kutumia upasuaji.
Nenda hospitali uonane na madaktari bingwa wa Masikio,Pua na Koo(ENT SURGEON) kwa ushauri wa kitaalamu zaidi ili uweze patiwa tiba sahihi/stahiki.
NB
1.Kutumia dawa utapata nafuu ila haizuii kujirudia,sabu ni maambukizi.
2.Tiba ni kuziondoa kwa upasuaji kama hautaki hilo suala kujirudia.
Hii lugha ya kidaktari sjaielewa, m tokea nakua ninazo ,so nikaa sehemu yenye hali ya baridi znavimba ama nkinywa kitu cha baridi . na umri wangu n above 25yrs. So nieleze vizuri nieleweTonsillectomy at 20 to 25yrs and abave huwa chronic maana yake hazivimbi kabisa Kwa sababu ya retaining ya microorganisms reactions ambayo hujengwa na kuwa hypersensitive reactions most of this time kuziondoa haisaidii at earliest time ni nzr Kwa kuwa mwili hujitune Kwa staili nyingine kufait na microorganisms
Hence kufuatilia ushauri ni vzr
Ila amputation ya tonsils above 20 yrs siyo nz
Hii inasaidia kwa tonsil chronic?Zikiwa zimechacha Sana benzylpenicillin 24 hrs with analgesic then phenoxymethylpenicillin 6 hrly to 5 days
Utakuwa. Umepona kabisa
Dawa kwa chronic ni ipi mbadala wa operation?Tonsillectomy at 20 to 25yrs and abave huwa chronic maana yake hazivimbi kabisa Kwa sababu ya retaining ya microorganisms reactions ambayo hujengwa na kuwa hypersensitive reactions most of this time kuziondoa haisaidii at earliest time ni nzr Kwa kuwa mwili hujitune Kwa staili nyingine kufait na microorganisms
Hence kufuatilia ushauri ni vzr
Ila amputation ya tonsils above 20 yrs siyo nzr
Mimi kukiwa na baridi kama hivi sasa nikinywa kitu cha baridi jioni lazima zinishike. Sasa kwanini napata mimi huki aina ya chakula hicho nimekula na wengineKuvimba kwa tonsils mara nyingi huweza kusababishwa na kuporomoka kwa madini ya iodine, pia magnesium mwili hii huweza kutokana na ulaji mbaya au kuporomoka kwa kinga ya mwili hasa mfumo wa lymphatic system ambayo huusika moja kwa moja na mfumo wa tezi. Hivyo kutokana na inflammation kwenye maeneo hayo huweza kuzuia upitishwaji wa madini muhimu kwa eneo hilo hivyo kusababisha kuvimba kwa tezi hiyo. Na hii tezi ni muhimu sana maana hupambana na maambukizi ya bacteria au magonjwa kwa eneo hilo la koo na njia ya hewa na faida nyingine lukuki. Kufanya operation kwa lengo la kutoa kwa ushauri ya paswa kuwa ni option ya mwisho.
Lishe bora hasa inayogusa matumizi ya vyakula asili na sio hybrid/ GMOs na pia kusitisha utumiaji wa bidhaa za viwandani hasa carbonic soda na energy drinks ambazo imeshakua kama trends kila mtu anavishambulia yu bila kujua madhara yake wish wangekua wana warning signs kubwa kama kwa bidha za sigara (of course this people hawawezi kuachia hili litoke kama ilivyokua kwa sigara ndio maana wakaja na food laws kama mwamvuli).
Kwa msaada zaidi ni PM
Kila mtu anakinga yake ya mwili na huweza kutofautia kwanzia kwenye genetic mf kundi la damu, pia race, n.k Pia lifestyle mf mazoezi, ulaji kwa ujumla mfano vinywaji, fast food, metaphysical perspective mf. Nguvu ya nishati ya jua ni kiasi gani unanifaika nayo n.kMimi kukiwa na baridi kama hivi sasa nikinywa kitu cha baridi jioni lazima zinishike. Sasa kwanini napata mimi huki aina ya chakula hicho nimekula na wengine