Tonight. ........

Hapa ndio tunapata tofauti ya muziki na makelele. Wasanii wa huko duniani wanajua kuupangilia wimbo na kupata muziki mwororo na laini. Sasa sikiliza hawa wa kwetu, ni kelele tupu.
 
Hapa ndio tunapata tofauti ya muziki na makelele. Wasanii wa huko duniani wanajua kuupangilia wimbo na kupata muziki mwororo na laini. Sasa sikiliza hawa wa kwetu, ni kelele tupu.

Ni kweli wimbo hauchuji hata, kuanzia maneno hadi midundo au instrumental..... unainyofoa santuri sandukuni ukiiweka roho unaiskia inakuhimiza uamke au utikise masikio kama si macho hehehehee
 
Mbebez umesharudia kusoma na kuelewa kama bado niPM

Bado nyota mwaya, nikisema nimeelewa ntakuwa nakimbia PM tuu. Ning'ate sikio ndugu ......
 
Ni kweli wimbo hauchuji hata, kuanzia maneno hadi midundo au instrumental..... unainyofoa santuri sandukuni ukiiweka roho unaiskia inakuhimiza uamke au utikise masikio kama si macho hehehehee
Wewe una masikio bora ya kujua muziki bora. Nyimbo za aina hii zinakuhamisha kutoka this physical world to the most beautiful imaginary world of fantasies
 
Wewe una masikio bora ya kujua muziki bora. Nyimbo za aina hii zinakuhamisha kutoka this physical world to the most beautiful imaginary world of fantasies

Sema tuna masikio bora ya kusikiliza wimbo bora....
 
Ayy Mamito Valentinitoooo, te queiro mamii, te queiro.

Unanifanya mpaka nanena kwa lugha kwa utamu tu.
Natamani sikio langu liwe karibu yako likiburudishwa na hilo bez lako tamu unenapo kwa lugha my sweetie....
 
Kiranga honey usiwe mkali unaogopeka jamani teh
Mimi si mkali, rijali mtamu ka asali
Juu kama dari, akili ndogo laza chali
Hadi dahari, adili mbogo, zali
Sitaki shari na Mchafukoge
Nanyata Kinyasini mpaka Pongwe
Mvita na Mrima, watambua himahima
Lamu mpaka Mayotte nawakonga wote
Wasemaje mi mkali ingali mwingi wa bashasha?
Na wote waso mali nawapoza kwa bahasha?
Ugali kwita wali, nakanusha, la hasha
Hayo mambo si mali kanyaboya kwa galasha
 
Kasinde ukiwa single nijulishe. I find you so interesting and I have this imagination that you know a lot of stuff!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…