figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,920
- 63,630
Labda uzikwe kidigitali make tumetofautiana masaa 10 baina ya Tonga na Tanzania, na ili ndege itoke Tonga moja kwa moja hadi Tanzania bila kutua sehemu yoyote ambapo ni kilometer zaidi ya 15500 italazimika kutumia masaa 20 kufika, na kama itakwenda kwa mwendo wa kutua kwenye vituo mbalimbali inaweza chukua hata siku tatu.So, ukifia Tonga 2017 unaweza kuzikwa Tanzania 2016!?!!
ha ha ha ha aiseeeSo, ukifia Tonga 2017 unaweza kuzikwa Tanzania 2016!?!!
IPO siku itawezekana coz Tesla akikamilisha ile project yake ya vacuum travel Tonga na Tanzagiza will be 3 hrs only.Labda uzikwe kidigitali make tumetofautiana masaa 10 baina ya Tonga na Tanzania, na ili ndege itoke Tonga moja kwa moja hadi Tanzania bila kutua sehemu yoyote ambapo ni kilometer zaidi ya 15500 italazimika kutumia masaa 20 kufika, na kama itakwenda kwa mwendo wa kutua kwenye vituo mbalimbali inaweza chukua hata siku tatu.
Kutokana na umbali utafika tz 2017So, ukifia Tonga 2017 unaweza kuzikwa Tanzania 2016!?!!
Unamfananisha mungu kama wewe, mlivyomchora na kumtundika hapo ukutani ukazani ndivyo alivyo, subiri hiyo sikuKwa hiyo huko Tonga ingekuwa ndio Siku ya kiama (Siku ya Mwisho wa dunia) inayosemwa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu hapa kwetu N'gwashilalage ningeuza Mali zangu fastafasta na kuagiza bia na kunywa huku nikimsubiri malaika Gablieli apige tarumbeta.
Sasa kama kalenda tu inachukua Massa yote kufika hapa kijijini the same na hicho kiama kitachelewa kutufikia huku!Unamfananisha mungu kama wewe, mlivyomchora na kumtundika hapo ukutani ukazani ndivyo alivyo, subiri hiyo siku
huo mwili wako watausafirisha kwa bluetoothSo, ukifia Tonga 2017 unaweza kuzikwa Tanzania 2016!?!!
Ah ah ah ah ahKwa hiyo huko Tonga ingekuwa ndio Siku ya kiama (Siku ya Mwisho wa dunia) inayosemwa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu hapa kwetu N'gwashilalage ningeuza Mali zangu fastafasta na kuagiza bia na kunywa huku nikimsubiri malaika Gablieli apige tarumbeta.
Labda uzikwe kidigitali make tumetofautiana masaa 10 baina ya Tonga na Tanzania, na ili ndege itoke Tonga moja kwa moja hadi Tanzania bila kutua sehemu yoyote ambapo ni kilometer zaidi ya 15500 italazimika kutumia masaa 20 kufika, na kama itakwenda kwa mwendo wa kutua kwenye vituo mbalimbali inaweza chukua hata siku tatu.
Ndege inaoitwa x-15 inatembea 4500 mile kwa saa moja tz mpaka tonga ni air mile 9600 hapo ndani ya masaa mawili atakua tz, which means ni kweli mtu anaweza kufa Tonga 2017 na akaja kuzikwa Tz 2016 View attachment 452513
Duu!! Umewaza mbali sanaKwa hiyo huko Tonga ingekuwa ndio Siku ya kiama (Siku ya Mwisho wa dunia) inayosemwa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu hapa kwetu N'gwashilalage ningeuza Mali zangu fastafasta na kuagiza bia na kunywa huku nikimsubiri malaika Gablieli apige tarumbeta.