Ronal Reagan JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,299 3,055 Feb 20, 2012 #21 Rushwa ni uhai wa CCM kwani ni kama damu. Ukiitoa umetoa uhai, sadly that's a FACT!
S saddam Member Jan 11, 2012 75 8 Feb 20, 2012 #22 ccm hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??? ha ha ha ha sio mchezo mapemaaaaaaaaaaaa higliths bado news
N Naytsory JF-Expert Member Nov 3, 2011 2,192 791 Feb 20, 2012 #23 Sitashangaa kusikia Sioi Sumari akipitishwa kuwa mgombea wa ccm, kwani hiki chama kina tabia ya kurithishana nafasi kama hizo. Sijui kama watu wa Arumeru wana desturi ya kifalme.
Sitashangaa kusikia Sioi Sumari akipitishwa kuwa mgombea wa ccm, kwani hiki chama kina tabia ya kurithishana nafasi kama hizo. Sijui kama watu wa Arumeru wana desturi ya kifalme.