GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Nina jamaa yangu ambaye naye anajihusisha na siasa toka mwaka juzi amekuwa kila akipita home au tukiongea kwa simu anasema nimwombee maana ameshika nafasi ngumu sana kiuongozi.
Nmekuwa nikijitahid kumwombea lakini nona mambo yake yanazidi kuwa mabaya tu. Ni kama anazidi kuchanganyikiwa daily. Mpaka naanza jjiuliza inawezekana maombi yangu hayasikilizwi tena kwa sir God.
Kwa nini hana mabadiliko?zaidi anazidi kushupaza shingo?je shetan amemshinda katika hili?maana imeandikwa kila alitaye jina la bwana na aache uovu.