Alola JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 476 Reaction score 300 Aug 22, 2014 #2 Hao wa ulaya wasafi kabisa, bado hawajala kazi wanaleta mahaba tu. Hapo kulia vijana wa kiafrika washakula kazi nzito si unaona jezi zilivyopendeza! sasa hapo ndiyo wanapumzishwa na kusahauliwa kwa muda. Hiyo inaitwa shumbwela ya kikomandoo
Hao wa ulaya wasafi kabisa, bado hawajala kazi wanaleta mahaba tu. Hapo kulia vijana wa kiafrika washakula kazi nzito si unaona jezi zilivyopendeza! sasa hapo ndiyo wanapumzishwa na kusahauliwa kwa muda. Hiyo inaitwa shumbwela ya kikomandoo