englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Mar 15, 2014 #1 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Foreign Minister of Denmark going to work yesterday morning.
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Foreign Minister of Denmark going to work yesterday morning.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 15, 2014 #2 Hawana makuu
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 15, 2014 #3 Raha wamezichoka
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,506 Reaction score 7,445 Mar 15, 2014 #4 Ndo viongozi hao
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,937 Reaction score 8,358 Mar 15, 2014 #5 atakuwa anaigiza.......
T THE WATCHER Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 194 Reaction score 64 Mar 15, 2014 #6 Sis ni malimbukeni.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Mar 15, 2014 #7 joto la dar uendeshe baskeli kutoka kimara hadi masaki huku umevaa suti ukiwa unaenda kazini.....am just trying to think loudly
joto la dar uendeshe baskeli kutoka kimara hadi masaki huku umevaa suti ukiwa unaenda kazini.....am just trying to think loudly
Makanyaga Platinum Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,823 Reaction score 7,562 Mar 15, 2014 #8 englibertm said: <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Foreign Minister of Denmark going to work yesterday morning. Click to expand... Copenhagen kabsia hapo. Halafu hapo kwa nyuma (anakotokea Waziri) kuna daraja limekatiza hiyo bararbara aliyonayo, yaani linatokea kulia kwenda kushoto au vice versa, nimepatia? Namiss Tivoli pia
englibertm said: <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button> Foreign Minister of Denmark going to work yesterday morning. Click to expand... Copenhagen kabsia hapo. Halafu hapo kwa nyuma (anakotokea Waziri) kuna daraja limekatiza hiyo bararbara aliyonayo, yaani linatokea kulia kwenda kushoto au vice versa, nimepatia? Namiss Tivoli pia
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,466 Mar 15, 2014 #9 Heaven on Earth said: joto la dar uendeshe baskeli kutoka kimara hadi masaki huku umevaa suti ukiwa unaenda kazini.....am just trying to think loudly Click to expand... Yah!! hata hali ya hewa nayo ni kigezo mojawapo.
Heaven on Earth said: joto la dar uendeshe baskeli kutoka kimara hadi masaki huku umevaa suti ukiwa unaenda kazini.....am just trying to think loudly Click to expand... Yah!! hata hali ya hewa nayo ni kigezo mojawapo.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Mar 15, 2014 #10 utafiti said: Raha wamezichoka Click to expand... sisi ndio tunazishobokea lol!