ishengoma kamuhanda
Senior Member
- Oct 2, 2016
- 136
- 116
Hapo ndi alizidi KUKOLEZA MOTO.Na mwanaume nae akajibu: I WISH YOU WERE HER... badala ya kuandika I WISH YOU WERE HERE.
lol...Na mwanaume nae akajibu: I WISH YOU WERE HER... badala ya kuandika I WISH YOU WERE HERE.
Tatizo la Wahaya hili. Na Wakerewe. Na makabila mengine ya ukanda huo. Kinapotakiwa kikanushi h wanakiacha, kisipotakiwa wanakiweka....tena kwa mbwembwe sana"Ubadili" fuc'k
Mkuu hyo avatarTatizo la Wahaya hili. Na Wakerewe. Na makabila mengine ya ukanda huo. Kinapotakiwa kikanushi h wanakiacha, kisipotakiwa wanakiweka....tena kwa mbwembwe sana
Mkuu umeanza vizuri sana ila umeboronga hapo mwishoni.
Communication skills ni tatizo kubwa sana kwa watanzania mfano Profesa Jalala huwa anapenda kujibu maswali ambayo hajaulizwa.
Matokeo form six yameshatoka?
KISA CHA KWELI.KUNA MTU MMOJA ALIUGUA SANA AKAAMUA KWENDA UINGEREZA KUTIBIWA.HUYO MME ALIKUWA NA MKE NA MKE WAKE ANA WUVU SANA MAANA ALIJUA MME WAKE NAE PIA "HAJA TULIA".BASI MME KAKAA KWENYE HOSP UINGEREZA MIEZI SITA.MKE KAMTUMIA MESEJI KUMJULIA HALI.ALIIANDIKA KWA KIINGEREZA LAKINI MAHALI ALIPOWEKA KOMA SIPO. Meseji ni hii hapa."IF YOU HAVE SO FAR NOT GOT ANY, BETTER COME BACK."Ilitakuwa aandike " IF YOU HAVE SO FAR NOT GOT ANY BETTER,PLEASE COME BACK HOME".Kuhamisha tu , ,MAANA imebadilika."AMEPOTEA NA AMEKUFA na AMEPOTEA AU AMEKUFA"