Tofauti ya halimashauri ya wilaya na manispaa

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Kwa yeyote anayejua kuhusu tofauti iliyopo kati ya halimashauri ya wilaya na halimashauri ya wilaya, na kama kuna uwezekano wa kujuzwa zaidi juu ya mamlaka zake na kwa namna zinavofanya kazi tueleweshane kwa sababu nimekuwa nikipata shida sana kutofautisha.

Karibuni tujuzane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…