The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
.
👉Tuanze na Dini ni mfumo maalumu wa Imani ,ibada na maadili yanayofuatwa na wanachama wake.
Wakati👉 UKIROHO ni uzoefu wa mtu binafsi na uhusiano na Mungu ,ulimwengu wa roho au Hali ya juu ya ufahamu.
👉Dini hutegemea maandiko na mafundisho ya kawaida mfano ukristo-hutegemea Biblia na uislamu hutemea Quran.
Wakati👉 UKIROHO hautegemei maandiko au ibada maalumu,mtu anaweza kujenga uelewa wake wa kiroho bila kufuata mfumo wa kidini(ni Hali ya kujishuhudia mwenywe ndani mwako na kuijua Ile nguvu kuu/Mungu ambayo ipo hapo ulipo wewe.
👉Dini huwa na jamii ya waumini,maofisa kama makasisi ,Imamu na mahala pa kuabudia kama kanisa ,misikiti au mahekalu.
Wakati👉 UKIROHO-husisitiza uzoefu wa ndani na huhusisha meditation ,maombi ya kimoyomoyo,au utafiti wa ndani kwa ajili ya utulivu,amani au kuungana na Nguvu ya juu zaidi.
👉DINI Ina sheria na taratibu ambayo hutoa miongozo maalumu ya Namna ya kuabudu na maisha ya Kila siku.
Wakati 👉ukiroho ni uzoefu unaoupata ndani yako kwa kuishuhudia Nguvu kuu ndani yako na kujitambua wewe ni nani kupitia mazoezi ya meditation.