Happy nation
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 679
- 591
Nasikitika sana kusema nchi ya viwanda haiwezekani,kenya wanatushinda kwa bei ya umeme,wataalamu wa viwanda ,mandhari ya uwekezaji ni nzuri (supply ya mahitaji ya kuendesha kiwanda,spea,chain ya mahitaji)historia kenya ni nzuri kwani hawajawahi kutaifisha mali ya watu, Vat ni asilimia 16 tanzania 18,kwa hiyo sioni mvuto ya wanaojenga kiwanda aache kenya aje tanzania.piga exchange rate 21.7 kwa hela ya tanzania. Kwa vivanda Tanzania sh 317 na kenya ukibadilisha sh 199.