Tofauti ya BAVICHA na UVCCM

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kuna tofauti kubwa kati ya vijana wa CCM (UVCCM) na BAVICHA.
1.UVCCM wengi ni vijana watulivu na weledi ambao raisi anawaamini na aweza wateua hata nafasi za uongozi wakati BAVICHA wengi si watulivu na si weledi wa mambo ambao hata ndani ya CHADEMA yenyewe hawaaminiki hivyo kutopewa nafasi kubwa nyeti ndani ya CHADEMA nyenyewe

2.UVCCM hubuni miradi mbalimbali ya maendeleo na wana vitega uchumi vya mabilioni vya kuendesha UVCCM wakati BAVICHA hawabuni miradi ya maedeleo bali kwao miradi maana yake ni kubuni mbinu kama za namna ya kuandamana,kupinga kila inachofanya serikali nk kwao hizo ndio projects!!!! Wanaziombea pesa kuwa zitatumika shilingi ngapi.BAVICHA hawana hata mradi mmoja wa kufuga hata njiwa mmoja.Ukiwauliza mafanikio yao watakachokwambia tulifanikiwa kufanya maandamano kadhaa,vurugu kadhaa nk Kwa ufupi BAVICHA ni zigo la gunia la misumari kwa CHADEMA
 
Back
Top Bottom