Tiririka ukweli mkuuBombardier inatumia gallons 1.187 ya mafuta kwa mile moja msidanganye watu.
Me umeniacha hapo kwenye miles na kilometaKama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa saa moja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano, mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2,000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000 (14,400×2000). Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za ‘service’ na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote.
Bombardier inatumia lita 1.187 ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Umbali wa Songea hadi Dares Salaam (Air Distance) ni takribani kilometa 537 sawa na miles 335.625.
Kwa hiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2,000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu (796,773). Swali la kiuchumi, jambo gani muhimu kati ya kugharimika 28,800,000 na kugharimika 797,000?
Kwa mtu yeyote mwenye mawazo tulivu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Usalama! mi ndilo la msingi haya mengine baadaeKama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa saa moja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano, mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2,000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000 (14,400×2000). Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za ‘service’ na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote.
Bombardier inatumia lita 1.187 ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Umbali wa Songea hadi Dares Salaam (Air Distance) ni takribani kilometa 537 sawa na miles 335.625.
Kwa hiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2,000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu (796,773). Swali la kiuchumi, jambo gani muhimu kati ya kugharimika 28,800,000 na kugharimika 797,000?
Kwa mtu yeyote mwenye mawazo tulivu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Hapo sasa. Hata mimi nimechoka kabisa!!Yaani mafuta inayotumia v8 kutoka songea to dar yanakaribiana na mafuta ya bombardier? Kila mtu mwenye hela angenunua hizo ndege!
Bombardier inatumia gallons 1.187 ya mafuta kwa mile moja msidanganye watu.
Hivi kati ya MV Dar Es Salaam (Meli Chakavu) na Bombardier Q400 (Bajaj), kipi bora?
Hii habari umekopi kwenye gazeti la Raia Mwema na ukaikopi nusu bila kuonyesha hivyo kwa wasomaji. Na Raia Mwema walikopi kutoka kwenye page ya Facebook ya jamaa mmoja anajiita Innocent Mungi na walikiri hivyo. Huyo Mungi hajaandika ukweli kwa sababu maelezo aliyotoa sio ya kitaalam bali ni ya watu wa kijiweni. Kwa wale watu wenye abc za ndege watakubaliana na mimi kuwa ulaji wa mafuta wa ndege ni kitu kinachotegemea attributes nyingi sana, hivyo ni vigumu kutoa jibu la moja kwa moja kama alivyodanganya huyu bwana Mungi. Kuna factors nyingi, nyingine kubwa na nyingine ndogo kabisa.... ndio zina-determine matumizi ya ndege. Ni sahihi kabisa kusema ndege kama Boeing 737 inaweza kutoka point A mpaka B penye umbali wa maili kama 1000 na ikatumia mafuta ya eg dola 5000 na ndege nyingine ikasafiri umbali C mpaka D penye umbali sawa kabisa na ule wa A na B ie maili 1000, na ikatumia mafuta yenye gharama karibu mara mbili eg dola 8000.Kama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa saa moja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano, mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2,000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000 (14,400×2000). Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za ‘service’ na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote.
Bombardier inatumia lita 1.187 ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Umbali wa Songea hadi Dares Salaam (Air Distance) ni takribani kilometa 537 sawa na miles 335.625.
Kwa hiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2,000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu (796,773). Swali la kiuchumi, jambo gani muhimu kati ya kugharimika 28,800,000 na kugharimika 797,000?
Kwa mtu yeyote mwenye mawazo tulivu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
Angalia na idadi ya abiria hizo ndege zinachukua,ndiyo utajua ipi ni bora.Kama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.
Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa saa moja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)
Kwa mfano, mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2,000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000 (14,400×2000). Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.
Hapo hatujajumlisha gharama za ‘service’ na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote.
Bombardier inatumia lita 1.187 ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Umbali wa Songea hadi Dares Salaam (Air Distance) ni takribani kilometa 537 sawa na miles 335.625.
Kwa hiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2,000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu (796,773). Swali la kiuchumi, jambo gani muhimu kati ya kugharimika 28,800,000 na kugharimika 797,000?
Kwa mtu yeyote mwenye mawazo tulivu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.
WanakalilishanaBombardier inatumia gallons 1.187 ya mafuta kwa mile moja msidanganye watu.
Kwaio izi ndege za bombardier zinakunywa mafuta almost sawa au inazid kidogo basi la yutong au marcopolo linaloenda songea sio.Kama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu.