mwanawahaki Member Joined May 27, 2016 Posts 11 Reaction score 4 May 27, 2016 #1 Wasalaam, Kwa wale wajuzi wa mambo,naomba ufafanuzi wa kisiasa kuhusu maana ya maneno "mapinduzi" na "mageuzi",kama yanavyotumiwa na CCM=chama cha mapinduzi na NCCR-MAGEUZI.
Wasalaam, Kwa wale wajuzi wa mambo,naomba ufafanuzi wa kisiasa kuhusu maana ya maneno "mapinduzi" na "mageuzi",kama yanavyotumiwa na CCM=chama cha mapinduzi na NCCR-MAGEUZI.