Tofauti kati ya dalili za mwanamke mwenye kukupenda kama rafiki na mwenye hisia na wewe za kimapenzi

Wewe unazo hisia juu yake Acha udomo zege muombe kumtoa lunch siku moja mchana, simamia bill, mpe kizawadi kidogo isiwe ya gharama sana wakati mnapata chakula mweleze yaliondani ya moyo kwa hisia za kweli...

Zingatia uenda huyo binti yeye anahitaji mume sio mchezea papuch na kusepa zake.
Nimejaribu kumuomba tutoka mara kadhaa huwa hayuko tayari na kuhusu zawadi nampaga huwa anafurahia na kunishukuru tu, kwisha habari.
 
Wabongo tunafeli sana you are friends afu unataka umtongoze pia ofisini yeye ni mwenyeji wako...kuna wengine hizo ni tabia zao,maofisini people hawako serious maana wanaitana baby na utani mwingi ila jichanganye utongoze utatamani uache kazi.

Fanya kazi achana na mapenzi ya ofisini,utakuja ujute maisha yako yote.
Shukran kaka nimependa ushauri wako Mwenyezi Mungu akujalie. Ulichosema ni kweli kabisa sema sometimes huwa emotional zinatucontrol kaka.
 
Nimejaribu kumuomba tutoka mara kadhaa huwa hayuko tayari na kuhusu zawadi nampaga huwa anafurahia na kunishukuru tu, kwisha habari.
Basi uenda hisia za kimapenzi zimejengeka ktk fikra zako yeye anakuchukulia kama kaka...jaribu kuweka hisia zako pembeni yaangalie mambo ktk uhalisia wa kawaida.
 
Shukran kaka nimependa ushauri wako Mwenyezi Mungu akujalie. Ulichosema ni kweli kabisa sema sometimes huwa emotional zinatucontrol kaka.
Ukitaka uishi vizuri ofisini wajue wazi kama umeoa au una mchumba ambae unatarajia kumuoa bila hivyo wadada wa ofisini watakula pesa yako sana,utajikuta unawanunulia lunch au vinywaji na watakukopa afu kutwa nzima wanakupiga majungu...watu hawapendani ofisini ni basi hamna namna inatakiwa mshirikiane kufanya kazi
 
Basi uenda hisia za kimapenzi zimejengeka ktk fikra zako yeye anakuchukulia kama kaka...jaribu kuweka hisia zako pembeni yaangalie mambo ktk uhalisia wa kawaida.
Shukran kaka. Mana hata mimi muda mwingne nawaza hivyo. Sema marafiki some times huwa wanaushawishi flani unaweza jikuta umejilipua
 
Ukitaka uishi vizuri ofisini wajue wazi kama umeoa au una mchumba ambae unatarajia kumuoa bila hivyo wadada wa ofisini watakula pesa yako sana,utajikuta unawanunulia lunch au vinywaji na watakukopa afu kutwa nzima wanakupiga majungu...watu hawapendani ofisini ni basi hamna namna inatakiwa mshirikiane kufanya kazi
That's why i' like Jf.
 
Hakika upo ofisini mzee umeelezea uhalisia wa ofisi nyingi chamsingi ni "go to work and go home"
 
Hawezi kukwambia kama anakupenda, weka mtego haramia... Ukiwaza kila mtu anakufikiriaje utaona wote hawana mpango na wewe,kumbe la hasha.
 
Siku utakayojichanganya kumtongoza ndiyo siku hata huko kukuita kaka na huo ukaribu utafika mwisho,

Sijui ni lini mtawaelewa wanawake..!!
Kweli madam, ofisini kuna utani unaofanana na ukweli. Bora ku enjoy kwa kufanya matani tu kuliko kufikiri hiyo kitu ni serious...
 
Ana wake
Wewe wa kumfurahisha tu akiwa kazini anaondoa stress za yake na labda wake.. or tabia anakulenga
 
...kuwa busy na mambo yako na usionesha Kama unamjali yy kihisia...pia muoneshe Kama una mtu tayar Tena mzur kuliko yy..

Apo ndo utajua anataka penz au kupotezeana muda tuu
 
Back
Top Bottom