masesethedreama
Member
- Aug 23, 2015
- 39
- 12
hii! kuna tangazo fulan linarushwa startv likirusha speech ya mwl nyerr likihuc ufisad wakat huo wakionesha picha za mh lowasa! hii inamaanisha nin ama kwa wale waukawa waache kusapot chanel hi il ibak kwa maccm pekee! naomba kuwasilisha wadau.