Toeni ajira

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
121
Reaction score
226
Wahitimu tunaangalia na kuitegemea serikali itaajiri.

Hali ya ajira portal ilivyo kwa sasaa

 
Kijani - Apps on Google Play Gusa link uone fursa zilizopo ndani. Ajira za kutosha ni maombi yako tu hakuna haja ya connection. Wale tuliokosa TRA tuje hapa. Huu ni mshahara wangu wa kwanza. Niliweka nadhiri ntawasanua watu sitakula peke yangu. Kazi kwenu na sala zenu.
 
πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

πŸ—£ LUGHA ZA KIGENI
βœ… English
βœ… French
βœ… German
βœ… Kitaliana
βœ… Russian
βœ… Romanian
βœ… Spanish
βœ… Arabic
βœ… Kiswahili
βœ… Chines

πŸ’» KOZI ZA COMPUTER
βœ… Computer Application
βœ… Graphic and Design
βœ… Video Production
βœ… Air Fare and Ticking

πŸ›  KOZI NYINGINEZO
βœ… Tour Guider
βœ… Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
βœ… Cleaner Hotel Management
βœ… Ususi
βœ… Make Up (Upambaji)
βœ… Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
πŸ‘‰ Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

πŸ“ž Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
πŸ“ž 0722 186 012
πŸ“ž 0786 199 664
πŸ“§ Amani Magazeti Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…