Nilidhani utetezi tu wa madereva waliokuwa wanadai wanatozwa faini kwa kosa la mwendo kasi Over 50 Km/hr maeneo yenye tahadhari hii.
Nikaona siku moja katika safari yangu nijionee, nilipo fika Mdaula eneo lenye maelekezo hayo nikapunguza mwendo mara gafla tokea ichakani akajitokeza afande akiwa na tochi kunisimamisha baada ya salamu akaielekeze screen ya tochi 65 Km/Hr akanipotezea muda kwa malumbano.
Ikandoka kufika mizani eneo la Mlandizi nikiwa nawaona askari kwakua hakukua na gari kubwa mbele nikawa naenda 35Km/hr nikasimamishwa tena,kwakua sikua na tatizo lolote nikajua atakagua gari niondoke askari akanionesha tochi tena 65k/hr nilipanic tukaanza debate wakaja wenzake wawili kumsaidia, kilicho nibore kali zao, eti wamechukua leseni yangu,wakataka kuniandikia notification wakati huo wananitishia twende kituoni kwakuwa nimekana speed yangu jumatatu wanipeleke mahakamani.
Ilikuwa Jumamosi, hawa ndio waliniptezea muda zaidi kwakuwa sikuwa na haraka nilitaka nione mwisho wake takuaje nikasubiri sanaaa.