samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,232
Sikia we Dreva reta reseni na kadi rako ra gari. Sasa naomba nikuandikie faini, dreva ya kosa gani. Afande umepita kijiji cha mabwe na mwampiti na mwendo mkali sana mia na arobaini na tatu.kama unabisha nikuoneshe picha wasap.jamani hiyo tochi iko wapi au wanatumia drone. Hii inaleta ubishi na kusingiziwa kwanini msiwe na tochi hapohapo