Mgoshingwa
Member
- Aug 26, 2018
- 38
- 17
Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi wake na kupewa Cheti cha Usahihi (Certificate of Correctness) angalau mara moja kwa mwaka.
Wakala wa Vipimo hawapimi hizi tochi kwa sababu kuu mbili:
1. Kwa kukosa ujuzi/ vifaa
2. Kwa kutokuwa na Kanuni za kuwawezesha kufanya mchakato wa upimaji ili kuupa uhalali wa kisheria uamuzi wowote utakaofikiwa.
Kwa muntadha huu, dereva yeyote atakayekomaa hadi mahakamani na kuhoji uhalalix usahihi wa spidi anayotuhumiwa nayo atakuwa ameigalagaza Jamhuri
Tatizo pia mda wa kusumbuana na hawa jamaa ndio mana wengi wanaamua kutoa tuwengi wanapoteza haki zao kwa kuogopa kwenda mahakamani
kama watumiaji tu, magumashi wanachokitumia unategemea kisiwe magumashi ?Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi wake na kupewa Cheti cha Usahihi (Certificate of Correctness) angalau mara moja kwa mwaka.
Wakala wa Vipimo hawapimi hizi tochi kwa sababu kuu mbili:
1. Kwa kukosa ujuzi/ vifaa
2. Kwa kutokuwa na Kanuni za kuwawezesha kufanya mchakato wa upimaji ili kuupa uhalali wa kisheria uamuzi wowote utakaofikiwa.
Kwa muntadha huu, dereva yeyote atakayekomaa hadi mahakamani na kuhoji uhalalix usahihi wa spidi anayotuhumiwa nayo atakuwa ameigalagaza Jamhuri
na jinsi unavyozidi kutoa kirahis ndivyo nao wanavyozidi kuhitajiTatizo pia mda wa kusumbuana na hawa jamaa ndio mana wengi wanaamua kutoa tu
na wengi wana tatizo LA kusahau anaweza akakubambikia kesi asubuhi mchana akaja umfanyie operation ya jicho kwenye hospitali yako sijui antegemea nn kama sio kupofushwaILA KUBISHANA NA HAWA JAMAA UWE NA MUDA WA KUPOTEZA NA GUTS PIA WENGI SHULE HAKUNA WANA SHURUTI TU
Kwahiyo siku hiyo safari yake toka awali ni huko mahakamani!Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi wake na kupewa Cheti cha Usahihi (Certificate of Correctness) angalau mara moja kwa mwaka.