waendelee hivi hivi
Sisi wenye CHAMA tunasema TBC1 endeleeni hivi hivi!Wenye chama lao naona wamekaa kimya!!! jamani toeni ushauri kwa tv yenu iweje??
Uhuru kwa wafanyakazi uongezwe ikiwepo wa kukosoa serikali pale inapokosea, Pia suala la uongozi liangaliwe vizuri maana naona kama ''nepotism'' imezidi.Mwisho, wafanyakazi wawe na uzalendo wakitambua kuwa sisi ndio tunaosaidia watoto wao waende ''msalani'' vinginevyo barabara ya kuelekea vyoo vyao itaota nyasi!!
Sisi wenye CHAMA tunasema TBC1 endeleeni hivi hivi!
Rais wetu ni Obama maana ndiye anayeiendesha nchi tokea USA..
Hamuoni msaidizi wake anavyoenda mara kwa mara kuchukua maagizo?!
Sasa kaja mwenyewe kukagua ki-jimbo chake na kuondoka!
Tehe!
TBC1.