hivi kati ya O na 0 wanasema moja ni namba na nyingine ni herufi. Mi sasa sijui ndiye kilaza, hilo swali nimepewe leo kwenye asignment yangu ya chekechea na nimekosa jibu hadi sasa, atakayenisaidia nitampa ofa ya kuhuduria mahafali yangu ya vidudu!
mfano nikisema 0 ni sifuri, je nitawezaje kuitetea hoja yako kwamba ni sifuri(namba) na si herufi?
Namaanisha ukikuta nimeandika 0 utajuaje ni herufi au namba?