Toa matalajio yako juu ya Tanzania baada ya miaka 3 chini ya JPM

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
473
418
Tukiwa chini ya JPM je kwa mwendo huu ni yapi matalajio yako baada 3 je Tanzania itakua imesonga mbele au imerudi nyuma?
 
Mwenyewe ameshasema hatasoma tena mitandao ya kijamii, unatuhakikishia vipi una ujasiri wa kwenda kumweleza mambo ambayo kamwe hapendi kuyasikia?
 
Back
Top Bottom