Wabongo tunatisha maana Hivi vicheko vinanikosha: 2002- kulikuwa na heeheee HALOOO
2007- watu wakazusha heeheee UTAJIJU
2011- watu wakacheka heheee UTAJIBEBA
2012- tena heeheeee KAOGE 2013- heeheee CHEZEA MIE WEWE
2014- hii ni noma heeheee KANITANGAZEE
je 2015 itakuwaje...! Toa maoni yako mdau wangu