To you Ephen

Enzi zetu tulikuwa tunaiita hii kama mistari au love vibes. Ila, hizi ni hisia zilizoandika. I know what goes up must come down, but still conquer that this is the best feeling that we all covet to have in our lives. Shida, it just ain't eternal
 
Huenda kuna mwamba yupo pembeni anasema hiii, ngoja kijana apige domo mimi nakula vyangu taratibu ila kwa uhakika.

Unataka kitu kizuri unapiga domo mnamna hii kweli! Vijana mnafeli wapi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…