To My Archduke

Aiseee ukiona mwanaume akiingia Jf ana kazi ya kusoma Demiss kamjibu nn mme wakee itakuwa ana matatizo ya oblongata si bureeee anahitajika mirembe
Hahahahahha mtihani nimeshangaa kwa kweli
 
Ukiona hivo ujue we are no more, narudia me na huyo uliemtaja hatuna la zaidi, ndugu yangu kusoma kwa picha umeshindwa???? Naona nina dam ya makapuku hahahahaa

Pole paprika sjui kakutenda nn

Kila kitu kina mwanzo na kina mwisho, mwisho hutegemea kua mzuri au mbaya lakini ndio mwisho wa hilo jambo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseee Kwa numbisa
Ulisarenda kabsa lkn paprika nae wembe
N ule ule
 
Mrs Jr bado una Hangover kichwani au??
 
Ogopa sana mvumo wa radh upepo
Ukishapta n hvo
Huo wivu wako uluoufich sku zote naona leo umepata sehemu ya kunyambiiia kumbe ulikuwa unachukia mahusiano yangu kwa taarifa yako hapa nilipo nimemganda Mshana kama ruba hiyo tabia yako ya husuda nimeiona leoo uwiii utapata tabu sana umeamua kuungana na popoma mwenzio kunanga mahusiano yote kwa taarifa yako haachwi mtu hapaaa
 
Ogopa sana mvumo wa radh upepo
Ukishapta n hvo
Nakusubir ujichanganye niku.nyeeeee kama sina akili nzur leo nimeamka na mood ya matusi lbd ukae kimya hivyo hivyo nitatapika matapishi ya pombee
 
Hio avatar ya anaependwa ujumbe wake Utapata tabu sana😀😀😀.
 
Eee umundani wazee mmecharuka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…