MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 601
Usiumize kichwa kudhani ni hujuma, ulaaniwe ujamaa na aliyeuleta, maana umezalisha mazezeta meeengi sana.Habari Wapendwa.Niko hapa nafanya utaratibu wa kusafiri kwenda Mwanza wiki ijayo.Kama mnavyofahamu watumishi wa umma wanapaswa kutumia usafiri wa Shirika la ndege la taifa ATCL.Kuna jambo la kushangaza linatokea na linanifanya nihisi kuwepo kwa uwezekano wa hujuma toka kwa maajent.Nimepigiwa simu na agent hapa anasema hawezi kufanya booking katika mtandao wa ATCL kwa sababu haupatikani.Cha ajabu nimejaribu ku book kwa njia ya website na nimeenda mpaka hatua ya mwisho.nimerudi kwa agent anasema Mfumo wanaotumia ni tofauti na huu wa tovuti.Hili limenifanya nijiulize maswali mengi.Nikakumbuka thread inayohusiana na kwanini ndege mbili za ATCL zimebaki na majibu ambayo mm kwa sababu ya interest na avitaion na ukaribu na marubani na wahandisi wa ndege ninakiamini nilichokipost kule.Cyle za matengenezo ya ndege kama ni A,B,C,D zinajulikana mahitaji ya kila check yanajulikana.Pia kuna matengenezo ya kila siku yanajulikana na vifaa gani vinapaswa kuwepo kwa kila cheki au vinayopaswa kuwepo siku zote.Hivyo haiwezekani inapofika muda wa A,B au C check vifaa viwe havijaagizwa au kulipiwa.Haiwezekani pia Dash Q-Q300 ifanyiwe C checks mara mbili na bado iwe inaleta shida kila ikiruka.Dalili za hujuma au uzembe
ngoja nivae miwani kwanza maana sioni vizuriUsiumize kichwa kudhani ni hujuma, ulaaniwe ujamaa na aliyeuleta, maana umezalisha mazezeta meeengi sana.
Wasisingizie hujuma, punda halazimishwi kunywa maji.ATC hewani is now ATC sakafuni
Zenyewe zinataka zikae ardhini nyie mnazilazimisha ziruke, siku zikiamua kutua popote naombea ****** awemo ndani kyu dashi miatatu.Ndege zote(2) Q400 Nzima,tangu spea ije zinaruka zote mbili, leo asubuhi moja imeenda Mwanza/Bukoba na nyingine Kigoma...yenye tatizo ni ile Q300 ya zamani...
Niliona wanasema iko serviceWasisingizie hujuma, punda halazimishwi kunywa maji.
Na yenyewe ni ya mapanga nshaaa?Ndege zote(2) Q400 Nzima,tangu spea ije zinaruka zote mbili, leo asubuhi moja imeenda Mwanza/Bukoba na nyingine Kigoma...yenye tatizo ni ile Q300 ya zamani...
ha ha ha hiyo ni ndogo ya hizi mpya, walikuwa nazo mbili,moja ilipata ajari kigoma,na nyingine ndiyo hiyo yenye tatizo..Na yenyewe ni ya mapana nshaaa?
Shiida kuuuubwa!Niliona wanasema iko service
Kwa hiyo inaweza ikawa sababu ya mtandao kutopatikana!?Watumishi wa umma wanapaswa kutumia ATC kwa ajili ya kikazi tu au hata na safari binafsi?
Na wewe safari yako ni ipi?