MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 601
Habari Wapendwa.Niko hapa nafanya utaratibu wa kusafiri kwenda Mwanza wiki ijayo.Kama mnavyofahamu watumishi wa umma wanapaswa kutumia usafiri wa Shirika la ndege la taifa ATCL.Kuna jambo la kushangaza linatokea na linanifanya nihisi kuwepo kwa uwezekano wa hujuma toka kwa maajent.Nimepigiwa simu na agent hapa anasema hawezi kufanya booking katika mtandao wa ATCL kwa sababu haupatikani.Cha ajabu nimejaribu ku book kwa njia ya website na nimeenda mpaka hatua ya mwisho.nimerudi kwa agent anasema Mfumo wanaotumia ni tofauti na huu wa tovuti.Hili limenifanya nijiulize maswali mengi.Nikakumbuka thread inayohusiana na kwanini ndege mbili za ATCL zimebaki na majibu ambayo mm kwa sababu ya interest na avitaion na ukaribu na marubani na wahandisi wa ndege ninakiamini nilichokipost kule.Cyle za matengenezo ya ndege kama ni A,B,C,D zinajulikana mahitaji ya kila check yanajulikana.Pia kuna matengenezo ya kila siku yanajulikana na vifaa gani vinapaswa kuwepo kwa kila cheki au vinayopaswa kuwepo siku zote.Hivyo haiwezekani inapofika muda wa A,B au C check vifaa viwe havijaagizwa au kulipiwa.Haiwezekani pia Dash Q-Q300 ifanyiwe C checks mara mbili na bado iwe inaleta shida kila ikiruka.Dalili za hujuma au uzembe