To be honest , ni Watanzania Wengi sana wanaoukubali huu utawala.Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.
Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
you sound kama mangi fulani. usijali sana hata mimi ni mangi. anyway nijuavyo mimi waliokua wanafaidika na mfumo wa upigaji dili rushwa na uzembe serikalini wana hasira ya kuua mtu na serikali ya jpm. hawa ni wachache ila wanapiga kelele kwelikweli. wengi ni wale wanasema wao wanajitambua.Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.
Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.
Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
HapanaTo be honest , ni Watanzania Wengi sana wanaoukubali huu utawala.
you sound kama mangi fulani. usijali sana hata mimi ni mangi. anyway nijuavyo mimi waliokua wanafaidika na mfumo wa upigaji dili rushwa na uzembe serikalini wana hasira ya kuua mtu na serikali ya jpm. hawa ni wachache ila wanapiga kelele kwelikweli. wengi ni wale wanasema wao wanajitambua.
Kila kona gani? Mbona hujakutana nami? Ningekuchana wewe!Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.
Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.
Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
Huu utawala mbovu kama wa Korea kaskaziniMim na familia yangu na Marafk zangu wote pamoja na majiran zangu na familia zao na marafki zao tumeuchoka sana sana utawala huu
People of Tanzania???? Labda wewe na mkeo aliyekuwa anafaidika na Dili zako but most of Tanzanians are so happy kwa style ya uongozi wa mh Rais,On behalf of myself and people of Tanzania haturidhishwi na huu utawala
Atakutanaje nawe uko maeneo yanayo uzwa gongo na huko hajaja?Kila kona gani? Mbona hujakutana nami? Ningekuchana wewe!
Yan ni atariMambo ni magumu sana
Maisha ni magumu kupita kiasi