Ushauri wangu tu ndugu, ingawa wengi watabisha hapa (nimegundua hili kwa muda mdogo niliojiunga, kuna watu ubishi ni kazi yao) kwanza soma tena barua yako, kuna makosa mengi mno ya uchapishaji. Umechanganya maneno mengi mfano Applicationfor, Schoolseeking, KiswahiliandComputer, supervision,to ni makosa madogo madogo, lakini kama wewe ndie unaepokea barua namna hii hivi kweli utamuajiri mhusika? Mimi sitokuajiri kwa sababu unaonyesha dhahiri kuwa utakuwa ukifanya makosa kazini, na pia huko serious kwa sababu kama uko serious ungelichukua muda kusoma barua yako kutoa makosa kabla ya kuituma.P.O.BOX 713,THE MANAGER,
ARUSHA
Tel:0715 214194
28[SUP]th[/SUP] February 2012
P. O BOX
ARUSHA.
Dear Sir/Madam,
Re: Applicationfor Temporary Employment
Kindly refer to the heading above.
I am a form six leaver of the year 2012 from Old-Moshi Secondary Schoolseeking a temporary employment in your organization.
Besides studying science subjects (PCM) at high school, I have a good command in English, KiswahiliandComputer Literacy.I have also considerable knowledge and skills in Computer Maintenance.
Some of my strong attributes include being able to work independently with minimum supervision,to take challenges, self-confidence, eager to learn, honesty, responsible and havestrong sense of team work.
I guarantee you that, if granted the position, I will be committed to the success of your organization by integrating the knowledge gained from school to bring fruitful results.
Attached are copies of my CV and other relevant certificate for your reference.
I hope that my letter will receive your kind consideration.
Yours faithfully
Applicant.
Ushauri wangu tu ndugu, ingawa wengi watabisha hapa (nimegundua hili kwa muda mdogo niliojiunga, kuna watu ubishi ni kazi yao) kwanza soma tena barua yako, kuna makosa mengi mno ya uchapishaji. Umechanganya maneno mengi mfano Applicationfor, Schoolseeking, KiswahiliandComputer, supervision,to ni makosa madogo madogo, lakini kama wewe ndie unaepokea barua namna hii hivi kweli utamuajiri mhusika? Mimi sitokuajiri kwa sababu unaonyesha dhahiri kuwa utakuwa ukifanya makosa kazini, na pia huko serious kwa sababu kama uko serious ungelichukua muda kusoma barua yako kutoa makosa kabla ya kuituma.
Pia kwenye strong attributes, ok ndio kwanza umemaliza form six, lakini ushahidi wa unayosema uko wapi? ningelikushauri ure-phrase sentensi hiyo na uweke ushahidi, maneno kamam possessing proven x and y skills as proven by completing/assisting/etc.
I have a good command in English, Kiswahili and Computer Literacy. sentensi hii unadhani iko sawa? good command in cumputer literacy? really? by the way it is swahili and not kiswahili. Kumbuka Ki tunatumia kuashiria aina ya lugha na sio sehemu ya jina la lugha; kiarabu, kifaransa, kifini, kijapani etc.
Ningelikushauri ure-phrase ulivyoanza barua yako pia "I am a form six leaver of the year 2012 from" iandike kivyengine.

copy and paste au ni nini? I dont see any attachments and your singature sir.
Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane

Sasa na wewe una andika haraka haraka na kwa vifupisho vya kwenye simu, unahofia kutuma message mbili au?????????Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane
Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane
Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane
Punguza uandishi wa ki-sms humu maana toka mwanzo wa maandishi yako hausomeki umeandika nini
Mhh!nashindwa kuelewa were you sleeping ulivyoandika mistari migapi hapo juu au umeona hakuna umuhimu wa kukosoa?bt kuanzia kwenye Simiraly...na kuendelea mbona kunaeleweka??Kweli na wwe na form6?haujapiga GS nn?pale kwenye topic ya kwanza kabica Comm.Bt ucfe mwoyo We learn thru Mistakes.Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane