Huyu mwanafalsafa na mwanaharakati alisema,few shall sacrifes themselves,for the betterment of the whole!kwahiyo hiyo 4.7% ambayo ipo nyuma isituogopeshe.Tuendelee kusonga mbele,mpaka kieleweke.
Hakuna atakayekuja kututetea zaidi ya kusimama kwa miguu yetu na kukataa dhuluma kama hii na unyanyaswaji na dharau tunayofanyiwa walimu!!!What for if we are not respected and always undermined!!Liwalo na liwe,mbele twasonga!!hakuna kurudi nyuma!!We should stand or our right
Ndibalema hapo umenena mkuu, hebu angalia siku ya leo tu jins ambavyo Tz imetikisa. unajua kama ni ch siasa basi kina nguvu sana. wala hakuna wakulipinga hili.
KAMA WALIMU SIO MUHIMU MBONA KILA KAZI ZA MUHIMU KAMA SENSA NA UCHAGUZI MNAWABEMBELEZA? GOMA GOMA GOMAAAAAA . . ! TUSUBIRI VITISHO VYA MKUU WA KAYA a.k.a Monitor; KESHO MWISHO WA MWEZI,HOTUBA YAKE