To all Arsenal fans,is this true?

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
444
Reaction score
654
The difference between Arsenal and
a toothpick is that a toothpick
has two points!
 
Kiwanda huanzishwa ili kizalishe, kama hakilazishi kila mwaka, kwa nini kiwanda cha jinsi hiyo kisifungwe?
 
Kiwanda huanzishwa ili kizalishe, kama hakilazishi kila mwaka, kwa nini kiwanda cha jinsi hiyo kisifungwe?

Kiwanda chetu kinafanya vizuri ingawa sio kama tunavyotaka mashabiki kwa mara ya kwanza huu ndio msimu mchezaji waliofanya vizuri kwenye timu hatujawauza,na kuwa tumetenga £70M za usajili kwa maoni yangu tusubiri Septemba 2 tutaona sura mpya Emirates Stadium !



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
arsenal ni kama mkia wa Mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
 
Mi shabiki wake mkubwa, kiukweli mwaka huu mtatuseama sana na tutakubali tu mana kikos chetu, mmmmmmhh.

Sina matumaini kabisa, lakin nadhan mnamjua anaetuweka pabaya namna hiii

Tupen maneno makali tu, labda yatamfikia mlengwa na haka muda kalikobaki, huenda, yan namaanisha huenda

Toothpic??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…